JKT Queens wapewe tu ndoo yao - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JKT Queens wapewe tu ndoo yao

JKT ndio timu pekee ambayo haijapoteza wala kutoka droo katika ligi ya msimu huu na inaziburuza timu zote 11 zinazoshiriki ligi hiyo iliyo msimu wa tatu tangu kuasisiwa kwake enzi za utawala wa Jamal Malinzi akiwa kama Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


Source: MwanaspotiRead More