JKU yatwaa Ubingwa wa ligi kuu Visiwani kwa tabu sana. - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JKU yatwaa Ubingwa wa ligi kuu Visiwani kwa tabu sana.

Hatimaye ligi kuu Zanzibar imekamilika baada ya klabu ya JKU kutetea ubingwa wa soka visiwani kwa msimu wa 2017/18 baada ya kutoa kichapo kwa Jamhuri mabao 3- kwenye mchezo uliopigwa jioni ya leo 3-1, kwenye uwanja wa amani.


Mabao mawili kutoka kwa Salum Mussa mnamo dakika ya 2 na 70 na msumari wa Posiana Malik kunako dakika ya 36 yalihitimisha ndoto za JKU kumyakua ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar mara ya pili mfululizo.Mkufunzi mkuu wa JKU Hassan Pele alisema kuwa klabu yake walifanya maandalizi makubwa ndio sababu msimu huu kwao imewapa fursa ya kutetea taji hilo.


JKU wamemaliza msimu wakiwa na alama 33 kibindoni.


Klabu ya Zimamoto imemaliza nafasi ya pili kwa alama 32. Mchezo wa mwisho wa Zimamoto wameshinda mabao 2-0 dhidi ya Opec.


JKU na Zimamoto ndio wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuanoya kimataifa ya CAF.


Hata hivyo hapo awali vilabu hivi hivi viliwakilisha visiwani michezo ya kimataifa lakini hawakufika popote.Zimamoto walikuwa na matarajio makubwa kutwaa ubingwa huo laki... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More