Joe Cole atangaza kustaafu soka - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Joe Cole atangaza kustaafu soka

Joe Cole, aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Uingereza, ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 37.


Cole, ambaye amewahi kuzitumikia timu mbalimbali zikiwemo West Ham, Chelsea,  Liverpool, Lille, Aston Villa, Coventry City ametangaza kustaafu leo Novemba 13, akielezea kazi yake ya mpira aliyokuwa akiifanya kwa nuda wa miaka 20 kama  ‘a dream come true.’ 


Kustaafu kwake kumekuja mara baada ya kuitumikia timu ya  Tampa Bay Rowdies kwa muda wa miaka miwili na nusu imayoshiriki  ligi ya United Soccer League huko nchini  Marekani.“After 20 years of living my dream, the time has come for me to hang up my boots…” aliandika hivyo katika kurasa zake za Instagram.


View this post on InstagramAfter 20 years of living my dream, the time has come for me to hang up my boots…


A post shared by Joe Cole (@therealjoecole) on Nov 13, 2018 at 12:43am PST

Joe Cole aliwahi kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Mawili ya FA Cups ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More