Joh Makini Awatolea Povu Wanaobeza Ndoto ya Mdogo Wake. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Joh Makini Awatolea Povu Wanaobeza Ndoto ya Mdogo Wake.

Msanii wa muziki wa hip-hop nchini Joh Makini amefunguka na kusema kuwa  kila mmoja amekuwa na ndoto katika masiha yake  na inaweza kutimia pale tu anapoamua kuifanyia kazi lakini anawashanga wale waliombeza sana Niki wa pili baada ya kuangaza Ndoto yake ya kuwa rais.


ni kitu kizuri sana mtu kuwa na ndoto lakini kitu cha kuikitisha ni pale ambapo niki alipotangaza ndoto yake kubwa ya kuwa rais kuna vipingamizi vingi sana  kutoka kwa wtu wakiona kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani,inaonyesha ni jinsi gani tuko katika taifa la watu wasiona na ndoto.lazima uwe na kitu kinachoweza kukwambia kuwa ipo siku wewe utakuwa mtu fulani na ukifanyia kazi ndoto hiyo inaweza uja kufanikiwa, na hakuna kinachoshindikana chini ya jua.Kwaio mimi namtakia kila la kheri na ndoto zake ziweze kutimia.


Muda nyuma kidogo uliopia niki alitangaza hadharani kuwa ana ndoto ya  kuwa rais, wapo waliompongeza na pia wapo waliombeza na kumpuuza.


The post Joh Makini Awatolea Povu Wanaobeza Ndoto ya Mdogo Wake. appear... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More