John Legend na mkewe Chrissy Teigen wapata mtoto wa pili - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wapata mtoto wa pili

John Legend na mke wake, Chrissy Teigen wamepata mtoto wao wa pili ambaye anadaiwa ni wakiume.Wawili hao wamedaiwa kupata mtoto huyo Alhamisi hii baada ya Chrissy kuandika ujumbe kwenye mtandao wa Twitter ambao unaonyesha familia yao kwa sasa imeongezeka.


“Somebody’s herrrrrrre! 🍼🤗🍼🤗,” ameandika Chrissy kwenye mtandao huo.


Wawili hao walipata mtoto wao wa kwanza, Luna Simone Stephens mwezi April 2016.

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More