Jose Mourinho aanika mambo matatu yanayoitafuna Manchester United, akiri Paul Pogba kuchangia kuachishwa kazi  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jose Mourinho aanika mambo matatu yanayoitafuna Manchester United, akiri Paul Pogba kuchangia kuachishwa kazi 

Jose Mourinho amesema kuwa matatizo yanayoisumbua klabu ya Manchester United yapo kwa wachezaji, mfumo na malengo huku akimtaja mchezaji, Paul Pogba kuwa anahusika kwa kuachishwa kwake kazi.


Jose Mourinho insists Paul Pogba was not responsible for his sacking at Manchester United


Mourinho ambaye alikuwa kocha Mkuu ndani ya timu hiyo ya Man United, alitimuliwa kazi mwezi Desemba, wakati matatizo ya mahusiano yake dhidi ya Pogba yalianza mwezi Septemba hadi kupelekea kupewa kitambaa cha unahodha ili kuweka mambo sawa ndani ya uwanja ingawaje haikuwa kama ilivyotarajiwa.


Pogba and Mourinho clashed in the months leading up to the latter's dismissal


Alipoulizwa kama alikuwa ameathiriwa na Pogba, Mreno huyo aliliambia gazeti maarufu la michezo nchini Ufaransa  L’Equipe “Hapana, matatizo yapo pale, unaweza kuwamini kuwa matatizo ni wachezaji, mfumo na malengo.”


“Nitaweza kusema tu kwamba, siwezi kusema ndiyo, uliponiuliza kama Paul Pogba ni yeye tu anayewajibika.” Mourinho amesema hayo wakati alipoulizwa anadhani Pual Pogba ndiyo chanzo.


Ole Gunnar Solskjaer  alichukuliwa kiziba nafasi ya Mourinho kwa kupewa mkataba wa miaka mitatu baada ya ku... Continue reading ->

Source: Bongo5Read More