Jose Mourinho akataa dili nono la kuinoa klabu hii kubwa barani Ulaya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jose Mourinho akataa dili nono la kuinoa klabu hii kubwa barani Ulaya

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amekataa ofa ya kuinoa klabu ya Benfica ya nchini kwao Ureno.

Kwa mujibu wa gazeti la AS, Jose Mourinho aliombwa kukinoa kikosi hicho ikiwa ni masaa machache yaliyopita baada ya kocha wa klabu ya Benfica Rui Vitoria kutimuliwa mapema jana Jumamosi Januari 05, 2019 .


SL Benfica and Rui Vitória have parted company.

We would like to thank him for his work during his time here. https://t.co/RSWxRHnQpK

— SL Benfica (@slbenfica_en) January 3, 2019

Mourinho alishawahi kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Benfica miaka ya 2000 akiwa chini ya Jupp Heynckes.

Mourinho amekataa dili hilo katika kipindi hiki ambacho, klabu kubwa kama Real Madrid zikimuhitaji.


The post Jose Mourinho akataa dili nono la kuinoa klabu hii kubwa barani Ulaya appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More