JPM ampiga kijembe Lissu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM ampiga kijembe Lissu

RAIS John Magufuli amesema, Jimbo la Singida Mashariki limechelewa kupata maendeleo, kutokana na kutelekezwa na aliyekuwa mbunge wake, Tundu Lissu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo tarehe 16 Septemba 2019, alipomuona Miraji Mtaturu (CCM), Mbunge wa Singida Mashariki katika hafla ya uzinduzi wa rada iliyosimikwa katika Uwanja wa Ndege wa ...


Source: MwanahalisiRead More