JPM asaka wawekezaji Urusi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM asaka wawekezaji Urusi

RAIS John Magufuli amemkaribisha Rais wa Urusi, Vladmir Putin  na wawekezaji kutoka nchi hiyo, kuja kutembelea Tanzania pamoja na kutafuta fursa mbalimbali za uwekezaji zilizoko nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Rais Magufuli ametoa wito huo jana tarehe 13 Machi 2019 Ikulu jijini ...


Source: MwanahalisiRead More