JPM atembelea majeruhi, serikali kubeba gharama zote - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM atembelea majeruhi, serikali kubeba gharama zote

RAIS John Magufuli amewajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro, waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufaa ya Morogoro. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Leo tarehe 11 Agosti 2019 Rais Magufuli ametembelea wagonjwa hao ambao wengi wao wamelazwa katika wodi ya Mwaisela na wengine 8 ...


Source: MwanahalisiRead More