JPM ateuwa wenyeviti wapya wa bodi TTCL, Airtel Tanzania - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM ateuwa wenyeviti wapya wa bodi TTCL, Airtel Tanzania

DAKTARI John Magufuli ameteua wenyeviti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Bodi ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania. AnaripotI Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 12 Juni 2019 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Gerson Msigwa, Rais Magufuli amemteua Mohammed Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ...


Source: MwanahalisiRead More