JPM: Hizo ni kelele za chura, hazinizuii - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM: Hizo ni kelele za chura, hazinizuii

RAIS John Mgaufuli amesema, kelele zilizoibuka baada ya ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), kushikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, hazikumzuia kufanya mambo yake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Ndege hiyo aina ya Air Bus A220-300 ilishikiliwa Afrika Kusini mwishoni mwa Agosti na kuachwa huru tarehe 4 Septemba 2019.    Ni ...


Source: MwanahalisiRead More