JPM: Ole wako Mufti uoe mke mwingine - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JPM: Ole wako Mufti uoe mke mwingine

RAIS John Magufuli amemkabidhi Sh. 10 Mil Mufti wa Tanzania, Aboubakar Bin Zubeir kwa ajili ya kusaidia kuendeleza Qur’an nchini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akimkabidhi fedha hizo Rais Magufuli amesema, amempa fedha hizo si kwa ajili ya kwenda kuoa mke mwingine bali uendeleza Qur’an kwa Waislam na wasio Waislam. Kauli hiyo ameitoa leo tarehe 19 Mei 2019, ...


Source: MwanahalisiRead More