JUISI ZA AZAM YAJA KIVINGINE 'AFRICAN FRUTI' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JUISI ZA AZAM YAJA KIVINGINE 'AFRICAN FRUTI'

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Bakhresa Foods and Beverages Ltd wakionyesha juisi ya African Fruti iliyokuwa ikijulikana kama Azam juisi kwenye hafla ya uzinduzi wa juisi hiyo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akionja utamu wa juisi ya African Fruti baada ya kuzindua rasmi juisi hiyo.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa juisi ya African Fruti.Mkuu wa Uhusiano na Masuala ya ndani wa kampuni ya Bakhresa Group, Hussein Sufian akizungumza machache kwenye hafla ya uzinduzi wa juisi ya African Fruti.Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa juisi ya African Fruti.Baadhi ya wafanyakazi na wageni waalikwa wakifurahia juisi ya African Fruti.
Kampuni ya Bakhresa Food Products Ltd imetangaza kubadili chapa za bidhaa zake za juisi za Azam zinazotamba kwenye soko nchini, kuanzia sasa zitaj... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More