JUKWAA LA WADAU WANAOTUMIA RASILIMALI YA MAJI LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JUKWAA LA WADAU WANAOTUMIA RASILIMALI YA MAJI LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

* Yaelezwa kuwa  asilimia 90 ya viwanda vinategemea huduma ya maji kutoka bonde la Wami/Ruvu
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVLEO Septemba 10, jukwaa  maalumu la wadau wanaotumia maji katika bonde la Wami/Ruvu limezinduliwa rasmi na hiyo ni pamoja na kujadili hali ya maji katika bonde hilo pamoja na kujadili changamoto na utatuzi wake ili kuendelea kutunza hazina hiyo ya maji kwa kizazi cha sasa na baadaye.
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo leo jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali za maji kutoka Wizara ya maji Rosemary Rwebugisa  amesema kuwa jukwaa hilo limewahusisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali na wananchi ambao ndio walengwa wakubwa wa rasilimali hiyo, na kueleza kuwa ili malengo yaweze kufikiwa lazima wataalamu na wananchi washirikiane ili kuweza kuleta maendeleo endelevu hasa ya kiviwanda kupitia rasilimali ya maji.
Amesema kuwa Wizara itaendelea kushirikiana na sekta na wadau mbalimbali katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunzwa na kuhifadhiwa na hiyo ni pamoja... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More