Juma Nkamia: Mswada wa kuongeza muhula wa urais na wabunge na maana yake Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Juma Nkamia: Mswada wa kuongeza muhula wa urais na wabunge na maana yake Tanzania

Juma Nkamia anaona muda wa ubunge wa miaka mitano hautoshi, kwa hivyo ingefaa kufanyiwa mabadiliko ya kisheria na Bunge lilitamke kuwa muda wa ubunge utakuwa miaka 7 sambamba na urais.


Source: BBC SwahiliRead More