JUMANNE MSANGAA: BAJAJI YA SPORTPESA IMENIEPUSHIA MAISHA YA KUBANGAIZA KIJITONYAMA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JUMANNE MSANGAA: BAJAJI YA SPORTPESA IMENIEPUSHIA MAISHA YA KUBANGAIZA KIJITONYAMA

UKIFIKA maeneo ya Kijitonyama Heko, jina la kijana Jumanne Msangaa si geni masikioni mwa watu wanaishi maeneo haya.  
Katika simulizi ya kusisimua kijana huyu anasema katika maisha yake yote alikuwa anazifanya shughuli ambazo zilikuwa zinamuingizia kipato kidogo sana. 
Anaposimulia juu ya aina ya maisha aliyokuwa anaishi na jinsi alivyokuwa anahangaika kujiingizia kipato kisichokidhi maisha yake, anaonekana kutabasamu huku mkononi akiwa ameshika funguo ya bajaj mpya aina ya TVS king aliyoipata baada ya kubashiri na Sportpesa.  
Jumanne Msangaa ni mmoja wa washindi wa mfano wa mafanikio ya kampeni ya Sportpesa  

Wakati kampuni hii ya ubashiri wa michezo mbalimbali inapozungumzia juu ya kuinua maisha ya watu, simulizi ya kijana Jumanne inakuunganisha na msingi wa furaha yake aliyonayo iliyokuja kwa kufumba na kufumbua akiwezeshwa na Sportpesa. 
Promosheni maalumu ya siku mia moja ya shinda na Sportpesa ambayo ilimwaga bajaj mpya takribani mikoa ishirini na mitatu nchi nzima, inatiliwa... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More