Jumia na skendo ya kudanganya data kwa wawekezaji! Yakanusha! - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jumia na skendo ya kudanganya data kwa wawekezaji! Yakanusha!

Kampuni ya Jumia imejikuta katika skendo inayohusisha udanganyifu wa data za kimapato na wateja ikiwa ni takbribani mwezi mmoja tokea kampuni hiyo ianze kuuza hisa zake katika soko la hisa nchini Marekani. Kampuni ya Jumia iliorodheshwa katika soko la hisa la New York (Wall Street) huku ikichukua sifa nyingi – wawekezaji wakiipatia jina la utani [...]


The post Jumia na skendo ya kudanganya data kwa wawekezaji! Yakanusha! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More