JUMLA YA WASTAAFU ELFU 10, 500 BADO HAWAJAFIKA PSSSF KUHAKIKI TAARIFA ZAO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JUMLA YA WASTAAFU ELFU 10, 500 BADO HAWAJAFIKA PSSSF KUHAKIKI TAARIFA ZAO

Kaimu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya serikali (TSN), ambaye pia ni Meneja Masoko na Mauzo, Bw, Januarius Maganga(wapili kulia), akizungumza jambo na Meneja Kiongozi Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Eunice Chiume, (wakwanza kushoto), wakati alipotembelea kampuni hiyo jijini Dar es Salaam Juni 11, ikiwa ni ziara ya kujenga mahusiano lakini pia kueleza shughuli za Mfuko huo ambao umeanza kutekeelza majukumu yake Agosti 2018 baada ya serikali kuiunganisha Mifuko minne ya Hifadhi ya Jamii ya PSPF, LAPF, PPF na GEPF.Meneja Kiongozi Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Eunice Chiume, (wakwanza kushoto), akiwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi (wapili kushoto), wakiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN), chini ya Kaimu Mhariri Mtendaji, Bw. Januarius Maganga (wakwanza kulia), ikiwa ni muendelezo wa ziara ya meneja huyo kiongzi kutembeela vyombo vya habari kwa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More