Jumuia ya Kihindu Tanzania yatoa mchango wa shilingi milioni 68 matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto wenye matatizo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jumuia ya Kihindu Tanzania yatoa mchango wa shilingi milioni 68 matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto wenye matatizo

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na kaimu kiongozi wa Jumuia ya Kihindu Duniani (BAPS) Mtukufu Bhaktipriyadas Swami pamoja na viongozi wengine wa jumuia hiyo wa hapa nchini wakati kiongozi huyo alipotembelea Tanzania hivi karibuni. BAPS imetoa kiasi cha shilingi milioni 68 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto 30.
Jumuia ya Kihindu Tanzania (BAPS) imetoa kiasi cha shilingi milioni 68 fedha ambazo ziatumika kwaajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto wenye matatizo hayo hapa nchini.
Fedha hizo ambazo zitatumika kwaajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto 30 wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) zimetolewa hivi karibuni na kaimu kiongozi wa Dunia wa jumuia hiyo.
Akizungumza kuhusu msaada huo Kaimu kiongozi wa Jumuia ya Kihindu Duniani Mtukutu Bhaktipriyadas Swami alisema wametoa fedha hizo kwa ajili ya kusaidia jamii yenye uh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More