Jundokan Austria watoa mwaliko kwa chama cha Jundokan Tanzania kuhudhuria semina ya 2019, Vienna - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jundokan Austria watoa mwaliko kwa chama cha Jundokan Tanzania kuhudhuria semina ya 2019, Vienna

Mkuu wa maandalizi ya kongamano la kimataifa la Karate chama cha Jundokan, mtindo wa Okinawa Goju Ryu Sensei Dr. Friedrich Gsodam mwenye 9 Dan toka mji wa Vienna, Austria ametuma barua ya kuialika Jundokan tawi la Tanzania.Uthibitisho wa mwaliko huo ulipokelewa kupitia mkuu wa chama hicho tawi la Tanzania, sensei Fundi Rumadha mwenye Dan 4, na mwalimu mwenye kutambuliwa na chama hicho huko Okinawa, Japan.
 " European Jundokan Gasshuku", linategemewa kufanyika mwezi Julai 19 hadi 21 litawakusanya walimu wote wa chama cha Jundokan toka Okinawa, Japan na nchi za ulaya zote.Pia, mwenyekiti wa chama hicho Sensei Kancho Miyazato na walimu wakuu walio kuwa naidhini ya ufundishaji wa semina toka chama kijulikanacho kama "Okinawan Budokan", ni sensei Tsuneo Kinjo dan 9, Tetsu Gima, dan 9 na kadhalika.Tanzania ni nchi pekee katika Afrika mashariki kuwa chini ya Jundokan. Pia vilevile, ikiwa imesalia miezi miwili na nusu kwa maadhimisho ya kusheherekea miaka 65 tangu chama hicho kimeanzishea ambayo i... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More