Juventus yamuweka Dybala sokoni kibabe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Juventus yamuweka Dybala sokoni kibabe

Saa chache baada ya dili baada ya dili lake kutua Manchester United kugonga ukuta, nyota wa Juventus, Paulo Dybala amekutana na msala mzito klabuni, mara akitakiwa kuondoka majira haya ya kiangazi.


Source: MwanaspotiRead More