JWTZ LAWAPA TAHADHALI WATAKAO VURUGA AMANI NA USALAMA WA NCHI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JWTZ LAWAPA TAHADHALI WATAKAO VURUGA AMANI NA USALAMA WA NCHI

Na Editha Karlo,wa michuzi Tv,Kigoma
JESHI la wananchi wa Tanzania(JWTZ) limesema kuwa litawaadhibu wale wote watakaojaribu kuvuruga amani na usalama wa nchi na limetoa tahadhari kwa watu wote wanaotumia mapori vibaya kuacha kufanya hivyo mara moja.
Mkuu wa Brigedi ya kanda ya magharibi (202 Kikundi cha Vikosi) Brigedia Jenerali, Julius Mkunda alisema hayo mkoani Kigoma wakati akiahirisha zoezi la kijeshi la kujiweka tayari kwa wapiganaji wa jeshi kupambana adui pindi anapotokea na kusema kuwa amani na usalama wa Watanzania ni lazime upewe kiupaumbele.
katika zoezi hilo lililofanyika kwenye mapori ya wilaya za Kibondo, Kasulu na Kakonko na kutambulika kama kama Opereshini KIKAKA Brigedia Jenerali Mkunda alisema kuwa kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mapori hayo, kutumika kwa shughuli za maficho ya ujambazaji, uwindaji haramu na kilimo mambo ambayo yanafanywa na wageni kutoka nchi jirani.
"Tanzania siyo shamba la bibi kwa kila anayetaka anakuja kufanya anachojisikia, hatutakubali tutawaadhibu ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More