Kaa chonjo Simba mpya inashambulia muda wote - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kaa chonjo Simba mpya inashambulia muda wote

Kutokana na aina ya wachezaji iliowasajili na wale waliopo kikosini, benchi la ufundi la Simba lina uwanda mpana wa kuchagua aina yoyote ya mfumo ambao itautumia katika mpango huo wa kushambulia kutegemea na mechi husika na ubora wa wapinzani wao.


Source: MwanaspotiRead More