Kabunda ala kiapo KMC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kabunda ala kiapo KMC

BAADA ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na KMC, Hassan Kabunda amesema lengo lake ni kuhakikisha anaisaidia klabu yake kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya kimataifa ambapo timu hiyo imepata nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika.


Source: MwanaspotiRead More