Kabwili aibukia Mwanza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kabwili aibukia Mwanza

MLINDA mlango wa Yanga , Ramadhan Kabwili aliyekuwa na timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 , leo Ijumaa amejiunga timu yake katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo kabla ya kukabiliana na Pamba FC hapo kesho Jumamosi.


Source: MwanaspotiRead More