Kabwili mara ya kwanza uwanja wa Ndondo na alichojifunza - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kabwili mara ya kwanza uwanja wa Ndondo na alichojifunza

Golikipa chipukizi wa Yanga na timu ya taifa Ramadhani Kabwili kwa mara ya kwanza ameshuhudia mechi ya Ndondo Cup akiwa uwanjani, hiyo ilikuwa ni ufunguzi wa msimu wa 2018 Keko Furniture dhidi ya Mabibo Market.


Kabwili amesema licha ya kuingia uwanjani kwa mara ya kwanza kuangalia game ya Ndondo, kuna vitu amejifunza ambavyo vitamsaidia kwenye mechi zinazochezwa kwenye viwanja ambavyo havina ubora.Source: Shaffih DaudaRead More