Kada CCM atafuna pesa za wafanyabiashara - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kada CCM atafuna pesa za wafanyabiashara

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amemtaka kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kahungwa kurejesha mara moja pesa zilizochangwa na wadau mkoani humo kwa ajili ya kuanzisha benki ya “Mwanza Community Bank” zilizochangwa tangu mwaka 2013. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kahungwa ambaye aliwahi kuingia katika kinyang`anyiro cha kuwania ubunge ndani ya ...


Source: MwanahalisiRead More