Kagera Sugar mambo magumu, Kavila awatuliza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kagera Sugar mambo magumu, Kavila awatuliza

Kagera Sugar inaendelea kujiandaa jijini Mwanza kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu, lakini katika mechi zake za kirafiki ilizocheza haijaonja ushindi wowote, jambo lilomuibua nahodha wake George Kavila kuwatoa hofu mashabiki wao.


Source: MwanaspotiRead More