KAGERA SUGAR YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA DRC - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAGERA SUGAR YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA DRC

Na Mwandishi Wetu, BUKOBA
TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imeendelea kujiimarisha baada ya kusajili wachezaji wawili wapya, akiwemo nyota wa klabu ya Bakavu Dawa FC ya Jamhuri ya Kodemokrasia ya Kongo (DRC), Jackson Kibirige.
Pamoja na mchezaji huyo wa timu ya taifa ya vijana ya Uganda chini ya umari wa miaka 23, Kagera Sugar inayofundishwa na kocha mzawa Meciky Mexime imemsajili Abdul Swamadu Kassim kutoka Malindi FC ya Zanzibar
Kibirige anakuwa mchezaji wa pili mpya wa kigeni kusajiliwa na Kagera Sugar baada ya kiungo mkabaji Moussa Hadji Mosi aliyejiunga na na timu hiyo kutoka Leslierres ya Ligi Kuu ya kwao, Burundi.

Jackson Kibirige (kushoto) akisaini mkataba wa kujiunga na Kagera Sugar kutoka Bakavu Dawa FC ya DRC 

Na Kwa ujumla Kibirige anakuwa mchezaji wa mpya 10 kujiunga na timu hyo pamoja na Mosi, wengine ni Yussuph Mhilu kutoka Yanga SC aliyecheza kwa mkopo Ndanda FC msimu uliopita, Zawadi Mauya kutoka Lipuli FC, Ally Shomari kutoka Mtibwa Sugar, Abdallah Seseme kutoka Mwadui FC,... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More