KAJALA achanganywa na kipaji cha mtoto wake Paula “Hapendi kuigiza filamu, Muda wote kajifungia chumbani” (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAJALA achanganywa na kipaji cha mtoto wake Paula “Hapendi kuigiza filamu, Muda wote kajifungia chumbani” (+Video)

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja amedai kuwa mtoto wake Paula hapendi kabisa kuigiza wala kutazama filamu, Na badala yake anapenda zaidi kusikiliza muziki kila muda akiwa nyumbani.Akiongea na bongo5 Kajala amesema kuwa Paula licha ya kupenda muziki lakini hana sauti ya kuimba, Hivyo huenda baadae akaja kuwa Producer kama Baba yake P-Funk Majani .


The post KAJALA achanganywa na kipaji cha mtoto wake Paula “Hapendi kuigiza filamu, Muda wote kajifungia chumbani” (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More