Kajala Amchagua Wema kwa Zari, Asema Hawezi Kujitolea Kumsaidia Zari - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kajala Amchagua Wema kwa Zari, Asema Hawezi Kujitolea Kumsaidia Zari

Kajala anasema kuwa kamwe hawezi kumsaidia Zari bali kama itatokea shida  na wapo Zari na Wema Sepetu basi anaweza kumchagua Wema kwa ajili ya kumsaidia kwa sababu anamjua wema na pia ameishi na wema na amekuwa wakimsaidia sana .


Kajala ameyasema hayo alipoulizwa kama kitatokea kitu kibaya na anatakiwa kumchagua mmoja wa kumsaidia ndipo aliposema kuwa kamwe hatomsaidia Zari kwa sababu aliwahi kusaidiwa na Wema na anaamini .


sijui niongeeje lakini ukweli ni kwamba siwezi kumsaidia zari kwa sababu simjui na wala sijawahi kuwa nae karibu lakini ninaweza kumsaidia wema kwa sababu aliwahi kunisaidia sana.


Ingawa jibu hilo la kajala limewashtua mashabiki wengi wa zari na inawezekana hilo linaweza kuleta kinyongo kwa  mashabiki kuacha kusapoti kazi za kajala.


The post Kajala Amchagua Wema kwa Zari, Asema Hawezi Kujitolea Kumsaidia Zari appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More