Kaka yake na Pancho awaonya wanaosema mdogo wake alienda kula bata Mbudya (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kaka yake na Pancho awaonya wanaosema mdogo wake alienda kula bata Mbudya (+Video)

Kaka wa marehemu Pancho amefunguka mwanzo mwisho juu ya kile kinachoongelewa na watu mbalimbali kuhusu msiba wa mdogo wake. Alisema kuwa ” Sisi tunachojua amezama kwenye maji mengine hatuyajui kikubwa tumpumzishe ndugu yetu” alipoulizwa kuhusu kwenda Mbudya alisema “Alienda kikazi na sio kula bata kama watu wengi wanavyodai”Lakini pia aliongeza ” Yeye ndio aliyemfundisha Pancho mambo ya muziki kwa yeye ni mwalimu ya sanaa,kwahiyo Pancho alipitia kwenye mikono yake.


By Ally Juma.


The post Kaka yake na Pancho awaonya wanaosema mdogo wake alienda kula bata Mbudya (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More