KAKA YESSAYA MWAKIFULEFULE ATOA SHURANI ZAKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAKA YESSAYA MWAKIFULEFULE ATOA SHURANI ZAKE

Asanteni Team Lake zone....Asanteni sana Wana wa iliyokua LAPF Tanzania (HQ, Northern Zone, Southern Zone, Central, Dar Zone,Western Zone)
Asanteni sana Wana VodaCom (staff marafiki walipo bado na wale ambao tulishaondoka Vodacom) asanteni sana...
Asanteni sana ndugu zetu NMB niseme Nini tena?Mungu azidi kuwabariki nyote....
Asanteni sana ndugu zetu Wana FB hapa...kuna jambo nimejifunza...asanteni sana....
Marafiki zetu wa Songea Boyz, Zanaki na Jitegemee Mgulani,Makerere na Ustawi wa Jamiii
Wazee Wetu na ndugu zetu kina Mwakifulefule na Wa SwaiMadaktari Muhimbili (Dr Kweka, Dr Mkopi) na wengineo ambao sikiweza kuwafahamu Mara moja
Jumuiya ya wafanya Biashara na majirani kule Kyela
Ndugu Zangu ,Moyo wangu UMEKUBALI,AKILI PIA IMEKUBALI KWAMBA NI KWELI SI NDOTO....
..Nimerudi tena kazini..na tuendelee kuwatumikia Wananaichi...
Ni mimi,
Mwaky & Sharon — at Mwanza Rock City Mall Mwanza.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More