Kakolanya anawaza makubwa Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kakolanya anawaza makubwa Simba

KIPA mpya wa Simba, Beno Kakolanya amesema kitendo cha msimu huu kurejea uwanjani, anaamini kwake yatafunguka mambo mengi ikiwemo kupigania nafasi ya kurudi kwenye kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars'.


Source: MwanaspotiRead More