Kama Huwezi Kutoa Fedha Yako Na Kununua Kitu Hichi Kimoja, Unajizuia Wewe Mwenyewe Kufanikiwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kama Huwezi Kutoa Fedha Yako Na Kununua Kitu Hichi Kimoja, Unajizuia Wewe Mwenyewe Kufanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa, Wapo watu huwa wanatafuta wachawi wanaowazuia wasifanikiwe. Kama wewe ni mmoja wa watu hao, na siyo lazima tu uwaite wachawi, unaweza kuwa unaamini wapo watu wanaokuzuia kufanikiwa ndiyo maana upo hapo muda wote, hupigi hatua, nina habari njema kwako. Ni kweli kabisa kwamba kuna mtu mmoja anayekuzuia wewe usifanikiwe. Na ipo njia... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More