Kama Una Sifa Yoyote Kati Ya Hizi Saba, Hapa Kuna Hatua Moja Kubwa Unapaswa Kuchukua Ili Uweze Kufanikiwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kama Una Sifa Yoyote Kati Ya Hizi Saba, Hapa Kuna Hatua Moja Kubwa Unapaswa Kuchukua Ili Uweze Kufanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa, Kadiri ninavyopata nafasi ya kuwahudumia watu wengi, ndivyo ninazidi kuona makosa na matatizo yanayojirudia rudia kwa wengi. Nimekuwa naona baadhi ya makosa machache ambayo watu wengi wanayafanya na yanawagharimu sana kwenye maisha yao. Watu wengi wanafanya mambo ambayo yanakuwa kikwazo kwao kufanikiwa, lakini wao wenyewe wanakuwa hawajui kama wanajizuria kufanikiwa. Hivyo utawakuta... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More