KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini katika kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Source: Issa MichuziRead More