Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale

HATUA ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kugomea taarifa ya Halmashauri ya Nyang’wale, Geita kwa madai kwamba kuna ufisadi wa zaidi ya Sh 3 Bil, imetibua maofisa wake. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kutokana na utata wa hesabu za halmashauri hiyo, LAAC imeiagiza Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ...


Source: MwanahalisiRead More