KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU NA KAMATI YA PAC YAKAGUA MIRADI YA UJENZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU NA KAMATI YA PAC YAKAGUA MIRADI YA UJENZI

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Moshi Selemani Kakoso, akisisitiza jambo kwa  Naibu Mawaziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa na Atashasta Nditiye, wakati kamati hiyo ilipokagua ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati kamati hiyo ilipokagua ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Moshi Selemani Kakoso. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Atashasta Nditiye, akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Moshi Selemani Kakoso, wakati kamati hiyo ilipokagua ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma.  Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma,  Bertha Bankwa, akielezea mkakati wa uboreshaji wa kiwanja hicho kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More