KAMATI YA MAADILI YA TAIFA YAKITAKA CHADEMA KUTEKELEZA UAMUZI WA KAMATI YA JIMBO LA UKONGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMATI YA MAADILI YA TAIFA YAKITAKA CHADEMA KUTEKELEZA UAMUZI WA KAMATI YA JIMBO LA UKONGA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi Ngazi ya Taifa, Jaji Mstaafu Mary Longway. (Picha na NEC)Katibu wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi Ngazi ya Taifa, Ndugu Emmanuel Kawishe (kulia) akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati hiyo (hawapo pichani), kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jaji Mstaafu, Mary Longway. (Picha na NEC)Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi Ngazi ya Taifa wakiendelea na kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jijini Dar es Salaam. (Picha na NEC)
Mwandishi wetu
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi Ngazi ya Taifa, imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiendelee kutekeleza maamuzi ya Kamati ya Maadili ngazi ya Jimbo la Ukonga yaliyokitaka chama hicho kusahihisha makosa yaliyotendeka na kuomba msamaha hadharani kwa kosa la kimaadili walilotenda.
Uamuzi huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Mst. Mary Longway baada ya kakio cha kamati hiyo kupitia na kujadili rufaa dhidi ya uamuzi wa Kamati ya Maadili Jimbo la... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More