KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI


 Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI ikiwa katika kikao Jijini Dodoma ambapo leo wamepokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja vya Ndege. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Mhe. Oscer Mukasa akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye. Kamati hiyo leo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja vya Ndege katika kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye akijibu hoja za Wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Oscer Mukasa na pembeni ni Katibu wa Kamati Ndg .Agnes Nkwera. Kamati ya Masuala ya UKIMWI  imepokea na kujadi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More