KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, MAZINGIRA YA BUNGE LA TANZANIA KUFANYIA KAZI MPANGO WA ETS. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, MAZINGIRA YA BUNGE LA TANZANIA KUFANYIA KAZI MPANGO WA ETS.

MPANGO wa uwekaji muhuri wa Kiectroniki ya kodi (Electronic tax stamp(ETS) kuongeza ukusanyaji wa mapato ya serikali kwa watengenezaji wa pombe kali kwani waingizaji wa pombe kali wa kinyemela hawatanufaika katika soko la pombe kali hapa nchini.
Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa TBL kitengo cha utengenezaji wa Konyagi, Davis Deogratius wakati akitoa ripoti ya kiwanda cha kutengeneza bia cha Tanzania Breweries Limited(TBL) jijini Dar es Salaam leo wakati wajume wa kamati ya Viwanda, biashara na Mazingira walipotembelea kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.
"ETS itasaidia sana kwa watengenezaji wa pombe kali hapa nchini na ukusanyaji wa mapato ya serikali utaongezeka kwani kunapombe kazi zinauzwa kinyemela hapa nchini."
Nae Naibu waziri wa wizara ya viwanda,biashara na uwekezaji, Mhandisi Stela manyanya wataishauri serikali ili mpango huo wa ETS ufwate ili kudhibiti uingizwaji wa pombe kali kinyemela na kuuza bia serikali kupata kodi.
Kwa upande wa makamu mwenyekiti wa kamati ya Viwanda,biashar... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More