Kamati za Bunge kufanya mapitio Bajeti 2019/20 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamati za Bunge kufanya mapitio Bajeti 2019/20

KAMATI za Bunge la Jamhuri zitaanza kuketi leo tarehe 12 Machi 2019 kufanya kazi mbalimali ikiwa ni pamoja na kupitia matumizi ya Fedha za Bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa, pamoja na mapitio ya bajeti inayokwenda ukingoni (2018/19) pia vikao hivyo ...


Source: MwanahalisiRead More