Kambi Maalim Seif: Tutampa chama Lipumba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kambi Maalim Seif: Tutampa chama Lipumba

KAMBI mbili ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendea kuminyana huku kila moja ikishindwa kujua tamati ya mgogoro ndani ya chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kambi ya Maalim Seif Sharif Hamad na ile ya Profesa Ibrahimu Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho taifa anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa zinakokotana mahakamani. Mbarara Maharagande, Naibu Mkurugenzi ...


Source: MwanahalisiRead More