Kamera za Huawei P30 Pro: Uwezo wake kuzoom ni hatari (video) - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamera za Huawei P30 Pro: Uwezo wake kuzoom ni hatari (video)

Kamera za Huawei P30 Pro zinafanya simu hiyo kuwa moja ya simu zenye uwezo mkubwa zaidi wa picha/video zenye ubora wa hali ya juu. Kamera za Huawei P30 Pro zina uwezo wa kuzoom kwa mfumo wa ‘optical’ mara 5 (5x Optical zoom – yaani zoom inayohusishwa usogeaji wa lense kwenye kamera). Wakati katika mfumo wa [...]


The post Kamera za Huawei P30 Pro: Uwezo wake kuzoom ni hatari (video) appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More