Kamisha mpya TRA apewa majukumu mazito - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamisha mpya TRA apewa majukumu mazito

DAKTARI Edwin Mhede, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameapishwa leo huku akipewa majukumu mawili mazito. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kwanza ametakiwa kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato; pili kurudisha uhusiano mwema kati ya TRA, wafanyabiashara na walipa kodi wote nchini. Majukumu hayo amepewa na Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango leo ...


Source: MwanahalisiRead More