KAMISHNA JENERALI MAGEREZA ATEMBELEA MIKOA YA KIMAGEREZA NA MAGEREZA KANDA YA ZIWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA JENERALI MAGEREZA ATEMBELEA MIKOA YA KIMAGEREZA NA MAGEREZA KANDA YA ZIWA

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike(wa pili kushoto) akipata maelezo kwa mfungwa anayehusika na upikaji wa chakula Gerezani hapo. Picha zote na Kitengo cha Habari, Makao Makuu.
 Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi Msaidizi Hamza Sadik mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza akitokea Dar es Salaam. Mkuu wa Magereza Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Raymond Mwampashe (kushoto) akimpokea Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike( wa kati) mpakani mwa Wilaya ya Chato na Wilaya ya Muleba baada ya Kamishna Jenerali kumaliza maudhurio ya hafla ya uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato.Kulia ni msaidizi wa Kamishna Jenerali Mrakibu Msaidiza Melkior Komba. Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Muleba, Mrakibu Hadar Yuda(kulia) akimkaribisha Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (kushoto) Gerezani hapo. Katikati yao ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Raymond Mwampashe.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More