KAMISHNA JENERALI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA ZIARA MKOANI WA SHINYANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA JENERALI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA ZIARA MKOANI WA SHINYANGA

Kulia ni Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela akimpokea Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye leo Jumatatu Juni 17,2019. Kushoto ni Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Shinyanga,Omary Simba. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog.Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela akimzungumza baada ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini, Thobias Andengenye kuwasili ofisini kwake.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye akielezea lengo la ziara yake mkoani Shinyanga.Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela akielezea changamoto zinazolikabili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Shinyanga kuwa ni pamoja na uhaba wa magari na nyumba za askari wa jeshi hilo.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye (kulia),akiagana na Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela.Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Shinyanga wakijiandaa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More