KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI ATEMBELEWA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI ATEMBELEWA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimtambulisha Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage (kulia), kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Diwani Athuman (kushoto), baada ya kuwasili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyopo jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi barabara ya ohio jijini Dar es Salaam jana tarehe 14/09/2018.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (kulia) akimkabidhi zawadi ya Kalamu yenye namba ya dharura 114, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Diwani Athuman (kushoto), alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyopo jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi barabara ya ohio jijini Dar es Salaam jana tarehe 14/09/2018. Wakati wa ziara yake ya kujitambulisha na kukuza mahusiano kati ya vyombo hivyo viwili.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru)... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More